Kampuni 10 za huduma za tovuti mtandaoni nchini Kenya

Kenya Website Experts

https://kenyawebexperts.com

Ni kampuni iliyoko jijini Nairobi inayotoa huduma za usajili wa vikoa na kuwezesha tovuti kupatikana mtandaoni kwa bei nafuu. Kenya Web Experts wana ushawishi mkubwa nchini katika sekta ya utoaji wa huduma hizi nchini. Bali na kuwa nchini Kenya, Kenya Website Experts wana uwepo nchini Rwanda.

Truehost Cloud Limited  

https://www.truehost.co.ke

Mojawapo wa kampuni zinazokua kwa kasi katika sekta hii ni Truehost Cloud Limited iliyoanzishwa mwaka wa 2016 nchini Kenya. Kampuni hii hutoa huduma mbalimbali katika ulingo wa teknolojia kama vile usajili wa vikoa, uuzaji wa vyeti vya SSL (huhakikisha usalama wa tovuti),uuzaji wa seva, uhifadhi wa data kwenye seva na huduma nyinginezo. Huduma hizi zote ni kwa bei nafuu. Kampuni hii huwapa wauzaji wengine wa vikoa (resellers) jukwaa thabiiti la kendesha biashara zao.

Huduma kwa wateja  ni kwa saa 24, kila siku 24/7

Tembelea https://www.truehost.cloud

Safaricom Limited

https://domains.safaricom.co.ke/

.

Safaricom Limited ni kampuni ya mawasiliano ya simu nchini Kenya. Juu ya huduma maarufu ya MPESA na zinginezo, Safaricom Limited hutoa huduma za usajili  wa vikoa na kuziwezesha tovuti kuwa kwenye mtandao.

Sasahost Limited

Kwa zaidi miaka kumi sasa, kampuni ya Sasahost Limited imekuwa ikitoa huduma za usajili wa majina ya tovuti na kuweka tovuti kwenye mtandao. Utoaji wao wa huduma umekuwa thabiti nchini.

Deep Africa Co Ltd

Kampuni ya Deep Africa hupatikana jijini Nairobi na mijini Thika na Eldoret; hata hivyo, hutoa huduma nchini kote. Kampuni hii husajili vikoa na kuweka tovuti kwenye mtandao. Deep Africa ina tovuti mbili ambako orodha ya huduma na bei zake hupatikana.

: https://www.deepafrica.com/ na   https://hostpoa.co.ke/

EAC directory

https://eacdirectory.co.ke/

Mojawapo wa kampuni zenye ushawishi katika soko hili ni EAC Directory. Kampuni hii husajiri vikoa, alama za kampuni mbalimbali na huduma nyininezo.

Global Internet Fortunes Limited

https://www.globalinternetfortunes.com/

Watoaji wapya wa huduma hizi nchini ni Global Internet Fortunes Limited. Katika Kampuni hii huwapa wateja mahala pa kuuzaa na kununua vikoa na bidhaa nyinginezo kwenye mtandao.Hawapo awali, ilijulikana kama Social Biz Connect.

Webhost Kenya Ltd

https://www.webhostkenya.co.ke/

Ni kampuni nchini Kenya inayosajiri vikoa, kuunda tovuti na pia kuziweka mtandaoni.

Aplin

https://www.aplin.co.ke/

Hii ni kampuni iliyoko jijini Nairobi. Aplin inajishughulisha na usajiri wa vikoa, kuweka tovuti mtandaoni na huduma nyingezo za kiteknolojia.

Bitsimba Telecommunications Ltd

Bitsimba Telecommunications ni mojawapo ya kampuni mpya zinazotoa huduma za usajili wa vikoa nchini Kenya. Pamoja na hilo, kampuni hii hutoa huduma ya uwekaji wa tovuti mtandaoni. Kuligana na ripoti ya kenic Agosti 2018, kampuni hii hutoa programu za kipekee kwenye soko hili.

WhatsApp Truehost Kenya